Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Dr. Steven Kiruswa, bungeni jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchi kutoka Kisarawe waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Dkt Semani Jafo (kulia kwake), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu kutoka Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam waliotembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi (kulia kwake), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025.
0 comments:
Post a Comment