Nafasi Ya Matangazo

June 12, 2025

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi Bi. Triphonia Thadei Mng'ong'o hati ya kiwanja chake kilichopo Mtuba  jijini Dodoma, alipotembelea Kliniki  ya Ardhi  kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025.  Katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geofrey Pinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Posted by MROKI On Thursday, June 12, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo