Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi za muda za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Kwa mujibu wa tanagzo lililotolewa na Tume leo tarehe 28 Juni, 2025 na kusainiwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima, R.K, nafasi zilizotangazwa ni Wasimamizi au Wasimamizi wa Vituo cha Kupigia Kura na Karani Mwongozaji Wapiga Kura.
Sifa za waombaji, malipo, masharti na namna ya kutuma maombi vimeelezwa kwenye Tangazo HAPA
TANGAZO HILI PIA LIPO KATIKA TOVUTI YA TUME www.inec.go.tz
0 comments:
Post a Comment