Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Kitaifa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Kamati hiyo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Machi 1, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Kitaifa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Profesa Kitila Mkumbo, Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 ili aipeleke kwenye Baraza la Mawaziri na Bungeni kwa ajili ya kujadiliwıa na kutungiwa sheria. Tukio hilo lilifanyika kwenye kikao cha Kamati hiyo alichokiongoza kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Machi 1, 2025.
0 comments:
Post a Comment