Wananchi wanaoishi maeneo ya Forodha Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, katika maeneo ya Mwaloni, Mlingotini na Saadani wamepewa elimu ya udhibiti wa Magendo kwa kutambua athari mabali kama vile afya na pia serekali kushindwa kukusanya kodi stahiki.
Elimu hio ikiwa kama kampeni ya muda wa wiki mbili. Maafisa hao wakiongozwa na Afisa Mwendamizi Forodha Bw. Deogratius Nyenshile
0 comments:
Post a Comment