Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi Maxim Reshtnkov, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Oktoba 28, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi Maxim Reshtnkov, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Oktoba 28, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi Maxim Reshtnkov na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Oktoba 28, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi Maxim Reshtnkov, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Oktoba 28, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi Maxim Reshtnkov na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Oktoba 28, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi Maxim Reshtnkov na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam, Oktoba 28, 2024.
0 comments:
Post a Comment