Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Kitabu kinachoelezea kampuni ya WAPCOS na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw.Rajni Krant Agrawal, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS ya Nchini India Bw.Rajni Kant Agrawal, alipofika Ikulu Jijini Zanbzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Rajni Krant Agrawal (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India Bw. Rajni Kant Agrawal, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS kutoka Nchini India Bw. Rajni Kant Agrawal , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024.(Picha na Ikulu)

Posted by MROKI On Tuesday, May 07, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo