Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao
nchini
Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe
za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic
Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
07 Februari, 2024.
************
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na
utawala bora utadumishwa kwa watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania wakiwa pamoja na baadhi
ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
07 Februari, 2024.
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania wakiwa pamoja na baadhi
ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
07 Februari, 2024.
Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wakiwa kimya kwa dakika moja kumuombea Rais wa
Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob wakati wa Sherehe za
Mwaka Mpya kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe

0 comments:
Post a Comment