Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ismani William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Chi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Chi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2024.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Det. Doto Biteko akiwasikiliza Waziri wa Chi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene na Mbunge wa Jimbo la Ismani William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma, Januari 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment