Mkurugenzi wa Mashtaka, Bw
Sylvester Mwakitalu (kulia) akimsikiliza Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Bw. Nicodemus Thomas Mushi wakati DPP alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Mashtaka, Bw Sylvester .A .Mwakitalu (kulia) akimsikiliza Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Bw. Nicodemus Thomas Mushi wakati DPP alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Mashtaka, Bw Sylvester Mwakitalu (kulia) akipokea mfuko wenye machapisho mbalimbali ya Bandari kutoka kwa Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Bw. Nicodemus Thomas Mushi wakati DPP alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa
Mashtaka, Bi Javelin Rugaihuruza, (kulia) akipokea mfuko wenye machapisho mbalimbali ya Bandari kutoka kwa Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Bw. Nicodemus Thomas Mushi wakati DPP alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Enock Bwigane akifafanua jambo kuhusu shughuli za bandari kwa mwananchi aliyetembelea banda la TPA katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.
Wananchi mbalimbali wakiwa katika Banda la Mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) lililopo katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.
Wananchi mbalimbali wakiwa katika Banda la Mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) lililopo katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.
Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Enock Bwigane akifafanua jambo kuhusu shughuli za bandari kwa mwananchi aliyetembelea banda la TPA katika maonesho ya Wiki ya Sheria Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

******************
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania 2024 inayofanyika Mkoani Dodoma.Maadhimisho ya mwaka yenye kauli mbiu ya Umuhimu wa Dhana ya Haki kwa Ustawi wa Taifa, yanafanyika sambamba na maonesho ya Wadau katika Viwanja vya Nyerere Square.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TPA Bw. Nicodemus Thomas Mushi amesema, TPA inathamini sana Mchango wa Sekta ya Sheria katika kutekeleza majukumu yake ya kuhudumia Meli na Shehena sambamba na kuendeleza Miundombinu ya Bandari kote Nchini.
Tunafanya biashara na Wadau wa Kitaifa na Kimataifa ambapo tunaingia Mikataba na makubaliano mbalimbali, hata katika miradi ya kuboresha Bandari zetu tunazingatia Sheria ili pande zote husika ziweze kutimiza Wajibu wake.
0 comments:
Post a Comment