Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiingia bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Joyce Ndalichako Bungeni jijini Dodoma leo Aprili 4, 2023.







0 comments:
Post a Comment