Nafasi Ya Matangazo

December 21, 2022

 

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (kushoto) akimpa maelekezo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Disemba 21, 2022.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (katikati) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi, alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Disemba 21, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, (katikati meza kuu) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Kaspar Mmuya, alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Disemba 21, 2022. Kulia ni kuu Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi, na kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura.


Posted by MROKI On Wednesday, December 21, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo