Mwenyekiti wa
Kijiji cha Dabaro Omary Iddi, akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya
mapendekezo ya ujenzi wa mabwawa katika maeneo yanayopata
changamoto ya mafuriko na kuathiri miundombinu ya reli,
Mkoani Dodoma .
Wajumbe wa
Kamati ya Mapendekezo ya Ujenzi wa Mabwawa katika maeneo yanayopata
changamoto ya mafuriko na kuathiri miundombinu ya reli kipande cha
Dabalo, Chalinze Buigili na Hombolo wakikagua eneo linalopendekezwa
kujengwa Mabwawa hayo, Mkoani Dodoma.
Posted by MROKI
On Wednesday, September 14, 2022
No comments
0 comments:
Post a Comment