Meneja Mwandamizi Idara ya Mikopo wa Benki ya Biashara
Tanzania (TCB),Joanitha Deogratias (wapili kushoto), akizungumza na baadhi ya
watejawaliotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya 46 ya Kimataifa Sabasaba
yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalim Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es
Salaam. Wengine pichani ni maofisa wa benki hiyo.
Afisa Mikopo wa Benki ya Biashara Tanzania TCB Cornel
Mlay (kulia), akizungumza na mmoja wa mteja
alietembelea banda la benki hiyo kuhusu bidhaa na huduma mbalimbali
zinazopatikana benki, kwenye Maonyesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara Dar es
Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Jk Nyerere Barabara ya Kilwa. Katikati
ni Afisa Uwendeshaji wa Benki hiyo Godbright Mlay.
Afisa uwendeshaji wa Benki ya Biashara Tanzania TCB Salha
Singano (wapili kushoto) akitoa maelekezo kwa moja ya mteja alipotembelea Banda
la benki hiyo kuhusu bidhaa na huduma mbalimbali zinazopatikana benki, kwenye
Maonyesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara Dar es Salaam yanayoendelea katika
viwanja vya Jk Nyerere Barabara ya Kilwa. kushoto ni Afisa wa kitengo cha ICT
wa TCB Joseph Bukuru
Meneja Uhusiano wa wateja wakubwa wa Benki ya Biashara
Tanzania TCB Shilla Senkoro (kushoto),
akizungumza na mteja kuhusu bidhaa na huduma mbalimbali zinazopatikana benki,
kwenye Maonyesho ya 46 ya kimataifa ya Biashara Dar es Salaam yanayoendelea
katika viwanja vya Jk Nyerere Barabara ya Kilwa.

katika viwanja vya Jk Nyerere Barabara ya Kilwa.***************
Benki ya Biashara Tanzania TCB imeshiriki maonesho ya 46 ya
biashara Sabasaba ambapo benki hiyo imeeleza namna ambavyo imeendelea kuboresha
huduma za kibenki hasa katika kuongeza matawi kila mkoa na wilaya ili kusogeza huduma kwa wateja
wake.
Akizungumza kwenye maonyesho hayo, Meneja Mwandamizi Udara
ya Mikopo wa benki hiyo Bi. Joanitha Deogratias alisema benki imejidhatiti
katika kuhakikisha inaboresha maisha ya watanzania wengi kwa kuwasaidia
kujiendeleza kiuchumi.
Joanitha alisema katika kuboresha huduma TCB imefanikiwa
kutoa huduma za kibenki za kidigitali ambapo wateja wanaweza kufanya malipo mtandaoni
kwa urahisi zaidi.
Alisema benki hiyo imechukua hatua mbalimbali ili kutoa
unafuu kwa wateja wake kutokana hali ya
kiuchumina ikiwemo kutoa unafuu wa riba.
Aliwahimiza watu wote waendelee kutembelea katika banda la Tanzania Commerci Bank ili kujionea huduma mbalimbali zinazopatikana katika benki hiyo.

0 comments:
Post a Comment