Mkurugenzi
Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru akipata maelezo kutoka kwa Afisa
Mawasiliano wa HESLB, Jacqueline Msuya wakati alipotembelea banda la HESLB
katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Afisa Mikopo
Mwandamizi wa HESLB, Mchunga Simba akitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea
banda la HESLB katika katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es
Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Maafisa
Mikopo wa HESLB wakitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea banda la HESLB
katika katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam
yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
0 comments:
Post a Comment