Nafasi Ya Matangazo

August 04, 2019

Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii profesa Adolf Mkenda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  zao jipya la SAFARI LOAN CAR,lililoanzishwa na benki ya CRDB katika hafla maalum iliyofanyika jijini Arusha kwenye hotel ya Mountmeru wakati wa kongamano la biashara kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Hongkong China jana.

Katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii profesa Adolf Mkenda akimkabidhi ufunguo wa gari mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Samless adventures Sam Manonga baada ya kupata mkopo kutoka benki ya CRDB katika halfa ya uzinduzi wa zao jipya la SAFARI CAR LOAN unaotolewa na benki ya CRDB.
Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Profesa Adolf Mkenda akimkabidhi ufunguo wa gari jipya mkurugenzi wa kampuni ya Excelent guides Diason baada ya kupata mkopo wa  CRDB wa zao jipya la SAFARI CAR LOAN uliozinduliwa jana jijini Arusha.
Mwenyekiti wa bodi ya utalii Tanzania jaji mstaafu Thomas  Mihayo akimkabidhi ufunguo wa gari jipya mkurugenzi wa kampuni ya Nature responsible safari  Bi Francisca Masika ambae ni mwanamke pekee aliyenufaika na mkopo wa benk ya CRDB wa zao jipya la SAFARI CAR LOAN uliozinduliwa jana jijini Arusha.

Posted by MROKI On Sunday, August 04, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo