Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack akipokelewa na baadhi ya Watumishi wa
Shirika la Ndege la Precision Air na Kampuni ya Acacia , alipowasili katika
uwanja wa ndege wa Kahama, mkoani Shinyanga wakati a uzinduzi wa safari za
Precision mkoani humo. Nyuma yake ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkulru.
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack akikata uteope kuashiria uzinduzi rasmi wa
safri za ndege za Shirika la Precision Air Tanzania Plc kati ya Dar es Salaam
na Kahama, Mkoani Shinyanga. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili
Nkurlu (mwenye kofia) na Meneja Uratibu na Mahusano wa Precision, Hillary Mremi
(kulia).
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack akijadiliana na Mkuu wa Wilaya ya Kahama,
Fadhili Nkurlu (mwenye kofia) wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za shirika
la Precision Air kati ya Dar es Salaam na Kahama, mkoani Shinyanga. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Meneja
Mratibu na Mahusiano wa Precision Air, Hillary Mremi akiwafafanulia jambo Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili
Nkurlu (kulia), wakati wa uzinduzi wa safari za ndege za shirika hilo wilayani
Kahama.
Marubani
wa Precision Air wakiteremka kutoka kwenye ndege hiyo mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kahama, mkoani Shinyanga, ambapo ulifanyika uzinduzi
rasmi wa safari za shirika hilo wilayani humo.
Mkuu
wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu (mwenye kofia) akisalimiana na marubani wa
ndege ya Precision wakati ilipotua katika uwanja wa Kahama, ambako ulifnyika
uzinduzi rasmi za safari za kati ya Dar es Salaam na Kahama, mkoani Shinyang.
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack (mwenye ushingi) na Mkuu wa Wilaya ya
Kahama, Fadhili Nkurlu (mwenye kofia) wakiwa katika picha ya pamoja wafanyakazi
wa shirika la ndege la Precision Air Tanzania na kampuni ya Acacia.
********************
Shirika la Ndege la Kitanzania Precision Air Services Plc,
leo limeanza rasmi safari kati ya Dar es Salaam na Kahama, Mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinynga amepongeza shirika hilo kw kunzish
safari z mkoni humo kw kuwa ni furs nzuri kw wakzi wa mkoa huo pmoja na
wawekezaji wanotaka kuwekeza katika mkoa huo.
Akizungumza baada ya ndege hiyo kutua katika uwanja wa ndege
w Kahama uliokuwa ukimilikiwa na kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Acacia, Telack
amesema, shirika hilo limefungua nia kwa wawekezaji wngi hasa kwa kuzingatia
wanahitaji usafiri wa uhakika ili wweze kufnya kazi zao vizuri.
“hii itaondoa usumbufu uliokuwepo zmani wa mtu akitaka
kwenda Dar es Salaam lzima aende Mwanza, sasa hivi hata wawekezaji na
wafanyabiahara wanaweza kuja moja kwa moja, ni fursa nzuri kwetu,” amesema
Telack.
Kwa upande wake, Meneja Uratibu n Mahusiano a Precision Air,
Hillary mremi amesema shirika hilo linajisikia fahari kuendelea kufungua nchi
na kuwezesha maeneo mblimbali kufikika kirahisi hatua ambayo inchochea maendeleo
ya taifa.
“Kwa takribani miaka 26 ya kutoa huduma, tunafurahi kuwa
mstari wa mbele katika kuifungua nchi, Kahama ni sehemu ya saba ambapo sisi
kama Precision Air tumekua waanzilishi wa safari. Precision Air imejidhatiti
kuwahudumia Watanzania na tumekua tukifanya hivyo kwa miaka yote hii,” amesema
Mremi.
Amesema Precisiona Air itakua ikifanya safari zake kati ya
Dar es Salaam na Kahama mara tatu kwa wiki, kila siku ya Jumanne, Alhamisi na
Jumapili na kwamba wataongeza safari hizo kwa kuzingatia mahitaji ya soko.
Safari za ndege za Precision Air, zinatarajiwa kuwawezesha
abiria kutoka Mikoa ya Shinyanga na maeneo ya jirani kama
Kiobondo,Kakola,Isaka,Ngara na Biharamulo kusafiri kwa urahisi zaidi kupitia
Kahama kuelekea Dar es Salaam na maeneo mengine Precision Air inapofika.
Kahama inakua ni safari ya pili kufunguliwa katika siku za
hivi karibu baada ya Entebbe iliyofungulia mwezi Julai, mwaka huu na pia
likitariajia kuzindua safari za
Serengeti mwanzoni mwa Mwezi wa Octoba mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment