Nafasi Ya Matangazo

August 21, 2017Ule mpambano unaosubiriwa kwa hamu dunia nzima uliopewa jina la “The Money Fight” kati ya Floyd Mayweather Jr. vs Conor McGregor upo karibuni na Dstv kwa kuwajali wateja wake kwa namna ya kipekee sana ambapo imewaletea  chaneli maalum ya muda (pop-up channel) kabla ya pambano kubwa la The Money .

Chaneli hii itapatikana kwenye DStv namba 213 inapatikana sasa kwa wateja wote wa DStv kuanzia kifurushi Premium 184,000 mpaka kifurushi Bomba sh.19, 975 na chaneli hiyo ilianza Jumamosi, 19 Agosti  na kuruka kila siku kuanzia saa 12:00 jioni - 08:00 usiku na kuendelea mpaka usiku wa pambano lenyewe siku ya Jumapili, Agosti 27 kabla ya pambano hili kuanza.

Chaneli hiyo (Dstv 213) itakuwa na ratiba kabambe ya mapigano mengi ya Mayweather, ziara yake ya Afrika mwaka 2014.

Kutakuwa na Nguo za thamani, maburungutu ya fedha, magari na lugha za kebehi. Hiyo yote ni kuleta mvuto kwenye pambano hili .

Kumbuka Pambano hili litarushwa LIVE na Dstv pekee kupitia SS2 Dstv 202 kuanzia kifurushi Premium sh.184,000 tu saa 8:00 usiku-2:30 asubuhi!

Wasiliana nasi kwenye mitandao ya kijamii, Facebook, Twitter na Instagram tunapatikana kwa jina @DstvTanzania.
Posted by MROKI On Monday, August 21, 2017 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo