Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde, akikabidhi msaada wa vifaa tiba na dawa kwajili ya Kituo cha afya cha Makole Mkoani Dodoma mwishoi mwa wiki. Vifaa tiba hivyo vinathamani ya sh Milioni 15.
Makabidhiano ya dawa yakiendelea.
0 comments:
Post a Comment