Washiriki wa matembezi ya kuchangia wahanga wa Saratani ya matiti
wakijiandaa kuanza matembezi katika viwanda vya taasisi ya Ocean Road

Bendi ya Polisi ikiongoza matembezi hayo
Washiriki katika matembezi hayo wakiendelea na matembezi.
WAFANYAKAZI kutoka taasisi mbalimbali za serikali na
makampuni binafsi walijitokeza kwa wingi mwishoni mwa wiki kushiriki
matembezi ya hisani ya kuchangia matibabu ya saratani katika taasisi ya
Saratani ya Ocean Road iliopo jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa kampuni ambayo wafanyakazi wengi walijitoa kushiriki
katika tukio hilo la hisani ni kampuni ya TBL Group
Baadhi ya washiriki wa matembezi hayo walieleza kuwa wameguswa na
changamoto zilizopo katika kukabiliana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa
Saratani nchini na kuahidi kuwa watazidi kujitoa kusaidia wahanga wa
ugonjwa huu na kufikisha elimu kwenye jamii jinsi ya kuutambua na kuwahi kupata
matibabu zinapojitokeza dalili za ugonjwa huu ambao unazidi kusababisha vifo
vya wananchi wengi
0 comments:
Post a Comment