Nafasi Ya Matangazo

October 16, 2016


  Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (wa pili kushoto) akizungumza na wageni  na Viongozi Mbalimbali walio jumuika katika hafla ya Mahafali ya Tatu ya  kidato cha nne 2016, Sekondari ya Kizumba iliyopo Kata ya Mwandege Mkoa wa Pwani, Kulia ni Cyprian Kizumba Mkuu wa Shule hiyo na watatu ni Diwani wa Kata hiyo, Adolph Kowelo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mkuu wa Shule hiyo, Mussa Manyange (kulia) akizungumza na Viongozi mbalimbali akiwemo Mgeni Rasmi.  Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (kushoto) kabla yakwenda kuzunguukia miradi iliyopo shuleni hapo,


 Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto) akimuonyesha mradi wa ng'ombe,  Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya, mara alipo tembelea miradi ya shule hiyo akimwakilisha, Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Sanga, ambapo Mkuu wa shule alimweleza kutokana na mradi hupata maziwa Lita 20 hadi 25 kwa siku

Wakiangalia Bwawa la Samaki
Migomba ya ndizi ya  shule
Bata wa kisasa wanaofugwa shuleni hapo
 Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kulia) akizungumza jambo BOFYA HAPA KUSOMA AIDI.

 Mkuu wa Shule, Mussa Manyange (kushoto) akizungumza mara walipotembelea banda la mbuzi
 Sehem ya mbogamboga
Shamba la mahindi na mbogamboga
 Mkuu wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba (wa pili kushoto) akimuonyesha mgeni rasmi sehem wanayolima mahindi muda wote kwa kutumia maji ya kumwagilizia kitaalamu
Nyanya
Michungwa
Nguruwe

Moja wa wanafunzi wanaohitimu Napenda John (wa kwanza kushoto) akimwelezea mgeni rasmi jinsi ya kutumia pesa 

Godlisten Mndasha (kulia) akielezea Papai linavyo fanya kazi katika mwili wa Binadamu
Wageni waalikwa


Wahitimu katika muonekano

Wahitimu wakiingia kwa ngonjela
Bendi ya Shule hiyo ikiimba wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya kumaliza Kidato cha nne katika mahafali ya tatu

Diwani wa Kata hiyo,  Adolph Kowelo (wapili kulia) akisalimia
Mkuu wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba Kulia na mkewake Mery Kizumba kushoto wakisalimia wageni waalikwaWanafunzi wakiwa katika igizo

 Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga, Clement Muya (wa pili kushoto) akimkabidhi mwanafunzi, Suzan Kasikana (kulia) cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha nne 2016 wakati wa mahafali ya tatu ya Shule ya Sekondari ya Kizumba iliyopo Kata ya Mwandege Mkoa wa Pwani . Kushoto ni Mkurungezi wa Shule hiyo, Cyprian Kizumba. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Mussa Manyange na Diwani wa Kata hiyo,  Adolph Kowelo


Posted by MROKI On Sunday, October 16, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo