Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin
(aliyeshika mbuzi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi baada
ya mbuzi wao kushinda
Meneja wa bia ya Kilimanjaro,Pamela Kikuli
akikabidhi hundi ya udhamini
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo
kwenye tamasha.
wafanyakazi wa TBL wakiendelea na yao
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa waandamizi wa kampuni
hiyo kwenye tamasha
Timu ya kikosi cha mbuzi cha Kilimanjaro ndani
ya uwanja
Furaha iliendelea
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya TBL Group,Roberto
Jarrin aliungana na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika tukio muhimu la
kuchangisha fedha za kukabiliana na changamoto za kijamii kupitia mchezo wa
mashindano ya mbuzi uliofanyika kwenye viwanja vya Farasi vilivyopo Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Mwaka huu kampuni imedhamini mashindano haya
yaliyolenga kukusanya fedha za kusaidia vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji
maalum kupitia bia yake ya Kilimanjaro.
Kama ilivyo moja ya sera ya kampuni inayoelekeza
wafanyakazi wake kutenga muda wao kushiriki katika masuala ya kusaidia
jamii,wafanyakazi wa TBL Group walijitokeza kwa wingi na walikuwa na
furaha wakati wote ya kushiriki tukio hili muhimu linalolenga kuleta
mabadiliko kwenye jamii.
0 comments:
Post a Comment