Nafasi Ya Matangazo

September 13, 2016

Bernard Odhuno Msimamizi wa Mradi  wa Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke (kwa niaba ya Ofisi ya Makamu wa Rais) akibadilishana Mkataba na Bw. Sheikh Bawazir  Mkurugenzi Mtendaji wa   Kampuni ya Dezo Civil Contractors iliyopewa kazi ya  Ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke. 
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava  (wa kwanza kushoto) akishudia utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.  Ujenzi huo utafanywa na Kampuni ya Dezo Civil Contractors. Wengine katika picha ni wawakilishi wa Kampuni ya Dezo na Watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini)
Posted by MROKI On Tuesday, September 13, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo