Nafasi Ya Matangazo

September 26, 2016

Waombolezaji wa kipeleka jeneza nyumbani kwa marehemu, Adolph Simon Kivamwo, Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam leo, tayari kwa shughuli ya kuagwa na hatimaye viwanja vya Leaders Club ambapo mwili wa marehemu ulikwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam Septemba 25 2016. 
Mwandishi wa Habari, Grace Nackso akimfariji mjane Frigeria Adolph Simon Kivamwowakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wa marehemu Adolph Simon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.
Adolph Simon Kivamwo enzi za Uhai wake.

Mjane Frigenia na wanawe wakiaga mwili wa marehemu, Adolph Simon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafamilia na majirani wakiaga mwili wa marehemu Adolph Simon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

Baadhi ya wanafamilia wakiaga mwili wa marehemu Adolf Saimon Kivamwo nyumbani kwake Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo, Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo.
Wanakwaya ya Sinai wakitumbuiza katika shughuli hiyo nyumbani kwa Marehemu Mbezi mwisho jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo nyumbani kwa marehemu Kivamwo.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kulipeka kwenye gari kwa kuelekea viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza kulipeka kwenye gari kwa ili kuanza safari ya viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.
Waombolezaji wakeka jeneza kwenye gari tayari kwa safari ya viwanja vya Leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.
Mjane Frigenia (kushoto) na wanawe, Arm Eliza (mwenye miwani) wakiwasili viwanja vya leaders Club.
Wanahabari wakilipokea jeneza baada ya mwili wa marehemu Kivamwo kuwasili viwanja vya vya leaders Club kwa shughuli ya kuagwa.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.

Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
Waombolezaji wakiwa katika shughuli hiyo.
Wanakwaya ya Sinai wakitumbuiza katika shughuli hiyo.
Mjane Frigenia Adolph Kivamwo na wanawe, Arm, Eliza (mwenye miwani) na Miriam (kulia) wakiwa na huzuni wakati wa msiba huo.
Askofu Isaya Kiputa wa Kanisa la Pentekoste Holiness Mission akisalimiana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media, Dkt. Reginald Mengi (kushoto) katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam.
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP-Media, Dkt. Reginald Mengi akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji baada ya kuwasili viwanja vya Leaders Club.
Mchungaji Reuben Njereka akitoa neno katiba ibada ya kuaga iliyofanyika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam.
Wana habari wakongwe walipata fursa ya kuonana katika tukio hilo. Kulia Muhidini Issa Michuzi 'Ankali' akisalimiana na Bernard Mapalala huku Hamisi Kibari (kushoto) na Charles Kayoka wakitabasamu. 
Posted by MROKI On Monday, September 26, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo