Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na mkuu wa mkoa wa Arusha Ndugu Mrisho Gambo mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa
Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO)
utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa
AICC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ndugu Lekule Laiza (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na viongozi mbali mbali waliojitokeza kumpokea mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA tayari kwa ufunguzi wa mkutano wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCCO) utakaofanyika mkoani Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa
AICC.
0 comments:
Post a Comment