Nafasi Ya Matangazo

August 15, 2016

Mkuu wa Udhibiti na Majanga wa benki ya DCB, Kulwa Deteba (kulia) akikabidhi msaada wa madawati 100 kwa Meya wa Manispaa ya Ilala , Charles Kuyeko (kushoto) na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Lubakaya, Said Chirimba katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika leo katika viwanja vya Shule ya msingi Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Shule hiyo ipo Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.
Mkuu wa Udhibiti na Majanga wa benki ya DCB, Kulwa Deteba (kulia) akipeana mkono na Meya wa Manispaa ya Ilala Charles Kuyeko, ambapo Benki ya DCB  imetoa madawati 100 kwaajili ya shule ya Msingi Lubakaya iliyopo Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.
 Meya wa Ilala, Charles Kuyeko akiwa katika picha na viongozi wa DCB Bank pamoja na watumishi kutoka Ofisi ya Afisa Elimu Manispaa ya Ilala.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mnazi Mmoja wakiwa wameketi katika Madawati hayo ambayo waliyapokea kwa niaba ya wenzao wa Shule ya Msingi Lubakaya.
Mkuu wa Udhibiti na Majanga wa benki ya DCB, Kulwa Deteba akiwapongeza wanafunzi.
Ofisa Elimu Manispaa ya Ilala, Elizabeth Thomas akizungumza kuhusiana na msaada huo. 
 Mkuu wa Udhibiti na Majanga wa benki ya DCB, Kulwa Deteba akizungumza.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Lubakaya akitoa neno la Shukrani.
Posted by MROKI On Monday, August 15, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo