Warembo
wanaowania Taji la Urembo Mkoa wa Tanga(Miss Tanga 2016) ambalo linaandaliwa na
Kituo cha Radio cha TK FM cha Mjini Tanga kwa kushirikiana na Hotel ya Tanga
Beach Resort wakiwa kwenye picha ya mapozi.
Warembo wanaowania
Taji la Mrembo wa Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016) wakiwa kwenye pozi katika
hotel ya Tanga Beach Resort kutakapofanyika shindano hilo Ijumaa Kesho.
Warembo hao wakimsikiliza Mratibu wa Shindano
ya Miss Sinza 2016 ambaye aliitembelea kambi hiyo leo
Mdau wa Tasnia ya Urembo hapa
nchini,Benny Kisaka akitoa nasaha kwa warembo wanaotarajiwa kushiriki
kinyang'anyiro cha kumtafuta Mlimbwende wa Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016
)itakayofanyika Ijumaa kesho kwenye Ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort.
0 comments:
Post a Comment