Nafasi Ya Matangazo

July 23, 2016

 Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza jambo wakati wa hafla hiyo 
   Mwenyekiti wa kamati ya Mkoa Madawati, Hamid Abdulrahman akimkadhi madawati mia mbili  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto)  ambapo hafla hiyo ya Harambee ya madawati inaongozwa na Kituo cha Televishen cha Channel ten kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mh. Paul Makonda , hafla hiyo imefanyika  Dar es Salaam  jana

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto) akimkabidhi madawati mia mbili, Mwalimu  Mkuu wa  Shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini, Joel Balua, ambapo hafla hiyo ya Harambee ya madawati inaongozwa na Channel ten kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa , hafla hiyo imefanyika  Dar es Salaam  jana, wakwanza kulia ni Mwenyekiti Kamati ya Shule Benjamin Wasonge
 Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na Waalimu wa Shule hiyo
 Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Wazazi wa wanafunzi wa Shule hiyo
 Mjumbe wa Kamati ya Uchangiaji madawati Mkoa wa Dar es Salaam Sakina Yusuphali akimpatia kinywaji mmoja wa  wanafunzi  hao

  Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi hao wa Shule hiyo
 Muonekano wa baadhi ya madarasa katika hatua ya mwisho
 Muonekano wa baadhi ya madarasa katika hatua ilipofikia
 Wakitoka katika kuangalia vyumba vilivyokuwa tayari na vikiwa vinamadawati 
 Baadhi ya wanafunzi wakiwa wameinua mikono baada ya kuulizwa swali na  Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, niwangapi wanao fuatilia kuangalia Tv na niwangapi hua wakiona tangazo gani? (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Posted by MROKI On Saturday, July 23, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo