Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akizungumza ndani ya Power Breakfast ya Clouds Fm
Na
Mwandishiwetu, Dar es Salaam
MKUU wa mkoa
wa Dar es Salaam Paul Makonda ameamua kuwavulia uvivu wale wote wanaosambaza
ujembe wa tofauti juu ya maagizo yake katika mitandao ya kijamii.
Makonda
ambaye aliamua kutenga muda na kuelza maswala kadhaa yausuyo jiji la Dar es
Salaam kupitia kipindi cha Power Breakfast ya Clouds Fm na 360 ya Clouds Tv juu
ya watu ambao wanaotengeneza account feki za mitandao mbalimbali kupitia jina
lake.
“Kwanza
wanapaswa kujua kuwa sina account ambayo inanza na cheo cha ngu hivyo account zote
zangu zimeandikwa kwa jina langu Paul Makonda sio vingine hivyo kila mtu
anapaswa kuwa makini na hilo” anasema Makonda.
Anasema kuwa
juu ya agizo batili lililopostiwa katika mitandao ya kijami kuwa wasikuwa
nakazi kwamaba watakwenda jela sio la account yake bali yeye ameagiza wenyeviti
wa serikali ya mtaa kuhakikisha kuwa wanafanya uhakiki wa wakazi wao nyumba kwa
nyumba kwa ajili ya usalama wa Maeneo wanayokaa.
Anataja kuwa
kutokana matatizo yaliyopo kamwe ataocha kupambana na mafisadi katika Halmashauri
zote tatu,wauza unga , wafanya biashara wa Shisha na Mashoga.
Hivyo aliwataka
wananchi wa mkoa huu kuwa makini na kufata maelekezo ya wenyeviti mitaa amabayo
nimewapa hili tuweze kuimarisha ulinzi kuanzi ngazi ya chini kabisa.
0 comments:
Post a Comment