Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Nuru Mrisho wakati alipowasili eneo la Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA) lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam, 28 Juni, 2016.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati) akiwa ameongozana na baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA) wakati alipowasili katika eneo lao lililoko Mwenge, jijini Dar es Salaam, 28 Juni, 2016.
0 comments:
Post a Comment