Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (kushoto) akiongozana na
mgeni Ramsi Kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA, Sheikh Ali
Hamis, wakati alipofika kwenye Hoteli ya City Garden jijini Dar es
Salaam jana Juni 17, 2016 kwa ajili ya kumwakilisha Mufti Mkuu wa
Tanzania katika Hafla ya Futari iliyoandaliwa na Mfuko huo. Picha na
Mafoto Blog
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (katikati) mgeni Ramsi
Kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA, Sheikh Ali Hamis,
wakiwaongoza wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, kuchukua Futari
wakati wa hafla Futari iliyoandaliwa na Mfuko huo katika Hoteli ya City
Garden jijini Dar es Salaam jana Juni 17, 2016.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana

Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akizungumza na
wafanyakazi wa mfuko wake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa
hafla ya Futari iliyoandaliwa na mfuko huo kwenye Hoteli ya City Garden
jijini Dar es Salaam, jana Juni 18, 2016. Kushoto ni mgeni rasmi,
Sheikh Ali Hamis.
Mgeni
rasmi Sheikh Ali Hamis, akizungumza na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni
PPF,(hawapo pichani) wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na mfuko
huo kwenye Hoteli ya City Garden jijini Dar es Salaam, jana Juni 17,
2016. Katikati ni Mkurugenzi mkuu wa Mfuko huo, William Erio.
********* *********
Na Mwandishi Wetu, Dar
JAMII
imetakiwa kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwani mfuko huo ni
faraja kwa Watanzania na unaofanya mambo makubwa kwa lengo la kuwasaidia
wananchi.
Wito
huo umetolewa na mwakilishi wa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Ali Hamis
wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na uongozi wa mfuko huo kwa
wafanyakazi wake.
Alisema kuna faida kubwa kwa wananchi kujiunga na mfuko huo kwani watafaidika na mafao mbalimbali yanayotolewa na PPF.
Aidha
Sheikh Hamis alisema kuwa ipo haja kwa watendaji wa mfuko huo kuendelea
kuwaelimisha wananchi ili waendelee kujiunga na PPF.
Alifurahishwa
na namna uongozi wa mfuko huo ulivyoandaa hafla ya futari hiyo maalum
kwa kuwafuturisha wafanyakazi wake na kwamba hilo ni jambo jema kwani
wafanyakazi wanafahamiana na kubadilishana mawazo.
Sheikh
Hamis aliitaka jamii kuwaenzi waasisi wa taifa hili kwa kuendelea
kudumisha Amani na umoja kwani wamefanya jambo jema la kuwafanya
wananchi wote kuwa kitu kimoja bila kujali dini wala kabila.
Kwa mujibu wa Sheikh Hamis, PPF ni aina ya mfuko unaowawezesha wananchi kujikomboa.
Hivyo ameuomba uongozi wa mfuko huo uendelee na jitihada za kuwafikia wananchi kwenye maeneo mbalimbali hapa nchi na hasa maeneo ya vijijini.
Kwa
upande wake mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio aliwashukuru
wafanyakazi kwa kushiriki futari hiyo,ambayo imekuwa ikiandaliwa kika
mwaka na kuwashirikisha wafanyakazi wake wote.
Naye mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi TUICO aliushukuru uongozi wa mfuko huo kwa kuwaandalia futari hiyo.
Futari hiyo ilihudhuriwa na wafanyakazi wa PPF kutoka makao makuu, kanda za Ilala, Temeke na Kinondoni.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Mfuko huo wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi
katika hafla hiyo, Sheikh, Ali Hamis, wakati wa hafla hiyo.

Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, Tawi la Tuico,
akiwashukuru wafanyakazi wa mfuko huo kwa kushiriki kikamilifu katika
hafla hiyo.
Sheikh
Mohamed Ali, kutoka Baraza Kuu la Waislam Tanzania BAKWATA, akiomba dua
baada ya kumalizika kwa hafla hiyo. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Mfuko huo wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi
katika hafla hiyo, Sheikh, Ali Hamis, wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakifuturu katika hafla ya
Futari iliyoandaliwa na Mfuko huo jana Juni 17, 2016 kwenye Hoteli ya
City Garden, jijini Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment