Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco)
Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa
kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma.
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment