Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akislimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrtin wa Kampuni ya Bia Tanzania (kulia) kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SABMiller Africa, Bw. Mark Bowman (katikati) na Bw. Roberto Jarrin ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania -TBL (kulia) ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2016.
0 comments:
Post a Comment