Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni TBL Group, Roberto Jarrin akiongea na wafanyakazi wakati
wa hafla ya utoaji wa tuzo ya kutambua mchango
wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama You Make a Difference
Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es
Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller
Africa, Mark Bowman akiongea na wafanyakazi na TBL
Group wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo
ya kutambua mchango wa wafanyakazi kwa kampuni
ijulikanayo kama You Make a Difference Award.Hafla hiyo ilifanyika
jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es Salaam
Baadhi
ya wafanyakazi na Viongozi wa TBL Group pia walihudhuria katika hafla hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP
,Roberto Jarrin ( kushoto) akimkabidhi Raphody
Mwakajinga kikombe cha ushindi kwa idara yao kufanya vizuri wakati wa
hafla hiyo.
Mkurugenzi
Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (wa pili kushoto) na Mkurugenzi
Mkuu wa SABMiller kanda ya Afrika, Mark Bowman ( kulia)
wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo ya kutambua mchango
wa wafanyakazi kwa kampuni ijulikanayo kama You Make a Difference
Award.Hafla hiyo ilifanyika jana katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar Es
Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group
,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi Afisa Masoko wa kampuni ya Bia
Tanzania Foibe chome, cheti cha tuzo ya
kutambua mchango wake kwa kampuni ya wakati wa hafla iliyofanyika jana jijini
Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller
kanda ya Afrika , Mark Bowman.
Mkurugenzi
Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin (kushoto) akimkabidhi Unice
Malle cheti cha tuzo ya kutambua mchango wake kwa kampuni
ya wakati wa hafla iliyofanyika jana jijini
Dar es Salaam. Anayeshuhudia Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller
kanda ya Afrika , Mark Bowman.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL GROUP
,Roberto Jarrin ( kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa SABMiller Africa,
Mark Bowman ( kulia) wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya
kuwatunuku wafanyakazi tuzo ya kutambua mchango wao kwa kampuni . Hafla
hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana
Washindi wa kwanza wa Tuzo
ya wafanyakazi ya You Make a Difference wakiwa
katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi na Viongozi wa TBL Group pia walihudhuria katika hafla hiyo
0 comments:
Post a Comment