Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimaliza kuweka saini katika kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo hicho katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Wajane na binti wa aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika Ibada Maalumu ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo chake katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Ibada Maalumu ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo chake katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa wakishiriki katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Sehemu ya waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Sehemu ya waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016.
Viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Balozi Joseph Sokoine na viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Sehemu ya watu waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Sehemu ya watu waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Sehemu ya kinamama na watoto wao waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Wanakwaya katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akiongea machache wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Msemaaji wa familia akiongea wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Balozi Joseph Sokoine na wageni wengine wakisiliza hotuba wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Wageni wakisikiliza hotuba mbalimbali wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Wageni wakisikiliza hotuba mbalimbali wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Wageni wakisikiliza hotuba mbalimbali wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na mkewe na wageni wengine wakifuatilia yaliyojiri Wageni wakisikilizawakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Katibu Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba akiongea wakati wa Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstafu Mzee Benjamin William Mkapa wakifurahia jambo wakati wa hotuba ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na Katibu Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba wakiwapa mikono familia ya Marehemu wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapa mikono familia ya Marehemu wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa mikono wajane wa Marehemu wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstafu Mzee Benjamin William Mkapa wakiwapa mikono wajane wa Marehemu wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisi dikizwa na Balozi Joseph Moringe Sokoine baada ya Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016.
ALIPOWASILI KANISANI HAPO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda alipowasili kuhudhuria Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba alipowasili kuhudhuria Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na mtoto Balozi Joseph Moringe Sokoine alipowasili kuhudhuria Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016.
************************
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameungana na wakristo wa Kanisa
Katoliki Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar es salaam, kusali misa Takatifu
ya kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Hayati Edward Moringe Sokine
aliyefariki dunia miaka 32 iliyopita, kwa ajali ya gari katika eneo la Dakawa
wakati akitokea Bungeni Dodoma.
Misa hiyo
imehudhuriwa pia na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Rais Mstaafu wa awamu ya
Tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa na Familia ya Hayati Edward Moringe
Sokoine.
Akizungumzia baada
ya misa hiyo Rais Magufuli amesema anamkumbuka Hayati Edward Moringe Sokoine,
kuwa alikuwa kiongozi shupavu aliyewapenda watanzania, aliyependa kuwatumikia
watanzania, aliyekuwa Mchapakazi, aliyechukia rushwa, aliyechukia ufisadi na
aliyechukia uonevu kwa watu wa chini.
"Namuona ni kilelezo cha pekee katika
Taifa letu la Tanzania, miaka 32 iliyopita wakati Mzee wetu Hayati Edward
Moringe Sokine alipoitwa na kutangulia mbele za haki, wakati huo mimi nilikuwa
JKT Mpwapwa, ninaikumbuka siku hiyo ilikuwa ya majonzi makubwa" Amesema Rais Magufuli.
Hata hivyo Rais
Magufuli amesema kazi nzuri ya mtu huwa haipotei na hivyo amewasihi watanzania
kuendelea kushikamana, kupendana na kuyaenzi mazuri yote yaliyofanywa na
viongozi wa Taifa waliotangulia mbele za haki, wakiwemo hayati Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Hayati Abeid Amani Karume na Hayati Edward
Moringe Sokoine.
Kwa upande wake
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa amemuelezea
Hayati Sokoine kuwa ni Kiongozi aliyejitoa kutumikia Taifa, na kubainisha kuwa
viongozi wote wanawajibika kuishi kwa mfano wake.
Rais Mstaafu Mkapa
amesisitiza kuwa mfano huo wa Hayati Sokoine, ndio ulioiwezesha Tanzania
kumpata kiongozi wa Sasa, Rais John Pombe Magufuli anayetaka kuonesha misingi
ya uongozi bora, uadilifu, kusimamia amani, utulivu na maendeleo.
Nae Askofu Mkuu wa
Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema
Hayati Sokoine hakuwa kiongozi wa kujiangalia yeye, bali Kiongozi kwa ajili ya
watu, na amempongeza Rais Magufuli kwa kufuata nyayo za Hayati Sokoine katika
kuliongoza Taifa.
"Kuna baadhi
ya watu wanasema Rais wetu wa sasa ni sura ya Edward Moringe Sokoine" Amesema
Kardinali Pengo, na kumtaka Rais Magufuli na serikali yake kusonga mbele na
kujenga heshima ya nchi.
0 comments:
Post a Comment