Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, akitoa hotuba yake katika mkutano
wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (kulia), akimsikiliza Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Uchukuzi, Dkt.
Leornard Chamuriho, kabla ya ufunguzi wa
mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika
Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, wakitambulishwa katika mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa sekta hiyo.
Wajumbe wa Mkutano wa baraza
la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, wakimsikiliza, Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani(hayupo pichani) wakati wa ufunguzi
wa mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel
Migire, akiwasilisha mada kwenye mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya
Uchukuzi.
Meneja wa Kituo cha TCAA,
Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Bw. John Chambo akimwonyesha Naibu
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani( kushoto),
ramani inayoonyesha njia za ndege, wakati alipotembelea ofisni hapo.
Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (wa tatu kutoka kulia mstari wa
kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa
Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA).
0 comments:
Post a Comment