Mtoto Suzana John Badi akimlisha keki mama yake Elizabeth, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. |
Mtoto Suzana John Badi akimlisha keki Baba yake John Badi, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. |
Mtoto Suzana John Badi akiwalisha keki watoto wenzake, wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa, iliyofanyika nyumbani kwa babu yake Mzee Mahiga eneo la Msasani jijini Dar es Salaam wiki endi. |
0 comments:
Post a Comment