Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza mtaalam wa kivuko eneo la
Magogoni jijini Dar es salaam wakati alipokagua kivuko cha MV Kigamboni na MV
Magogoni kuona utendaji wake.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Meneja ujenzi wa kampuni
ya BQ Bw. Neven Slavujevic inayojenga
mtambo wa kupima mafuta bandarini (flow meter ) kwenye kituo cha kupakulia
mafuta kilichopo Mji Mwema Kigamboni jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akipanda juu ya mtambo wa kupima mafuta
bandarini (flow meter) kwa ajili ya kuukagua kwenye kituo cha kupakulia mafuta
kilichopo Mji Mwema Kigamboni jijini Dar es salaam.
Meneja ujenzi wa kampuni ya BQ
Bw. Neven Slavujevic inayojenga mtambo
wa kupima mafuta bandarini (flow meter )akifafafanua jambo kwa Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa alipokagua mtambo huo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa wajenzi wa Flow meter ya
Mji mwema.
0 comments:
Post a Comment