Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais
wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang mara baada ya kuwasili katika viwanja vya
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang
mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa kwa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akikagua gwaride la heshima katika viwanja vya
Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.
Rais
wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwapungia wananchi na wafanyakazi wa Ikulu mara baada ya kuwasili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mazungumzo Rasmi kati ya ujumbe wa
Tanzania na Ujumbe wa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang Ikulu jijini Dar es
Salaam.
0 comments:
Post a Comment