Nafasi Ya Matangazo

January 19, 2016

Kampuni ya Konyagi ambayo ni kampuni tanzu ya TBL Group hivi karibuni iliandaa tamasha la kuonja vinywaji  vya wine vinavyotengenezwa na kampuni hiyo yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam.


Tamasha hilo lilolofanyika katika hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam lilikuwa kivutio kwa watu wengi na walouhudhuria kwani walipata burudani za kila aina na kufurahia ubora wa vinywaji vya kampuni hiyo bila kusahau kucheza muziki,kupata maakuli na kujishindia zawadi mbalimbali.
 Miongoni mwa washindi wa zawadi mbalimbali wakikabidhiwa zawadi zao.
 Kaunta ilikuwa tayari kusubiri wageni
 Bendi maalum ya muziki ilikuwepo kutumbuiza katika tamasha hilo.
Wageni mbalimbalimbali wakijumuika pamoja kwa kuonja wine za kampuni ya Konyagi.
Posted by MROKI On Tuesday, January 19, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo