Mkuu
wa Ukaguzi wa ndani toka Wizara ya Fedha na Mipango Bw.Mohamed Mtonga
akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu miongozo mbalimbali iliyolewa na
Serikali ikiwa ni moja ya hatua za kuimarisha vitengo vya ukaguzi wa
ndani katika Wizara na Taasisi za Serikali kote nchini ili kuongeza
tija,kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara Hiyo Bi.
Ingiahedi Mduma na kushoto ni Kaimu Mkaguzi mkuu wa ndani bW. Chotto
Sendo.
Baadhi
ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Wizara ya fedha na
Mipango uliofanyika leo jijini Dar es salaam ukilenga kuelimisha umma
juu ya namna Serikali inavyochukua hatua katika kuimarisha vitengo vya
ukaguzi wa ndani ikiwemo kuvipatia vifaa vya kisasa ili viweze kutimiza
majukumu yake kwa ufanisi.
0 comments:
Post a Comment