Nafasi Ya Matangazo

January 07, 2016


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,Vijana ,Ajira na Walemavu), Anthony Mavunde(mwenyesuti walioketi) akizungumza na vijana waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda wa Kijiwe cha Kange, Wilaya ya Tanganmjini, Mkoani Tanga leo. Naibu Waziri huyo anaeshughulikia zaidi masuala ya Kazi, Ahira na Vijana alizungumza mengi na vijana hao ikiwa ni pamoja na changamoto zao.
Naibu Waziri Mavunde akipiga picha 'Selfie' na vijana hao.
Posted by MROKI On Thursday, January 07, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo