Nafasi Ya Matangazo

January 08, 2016

 MCHEZAJI wa Kimataifa wa Tanzania anaekipiga na timubya TP Mazembe ya Congo DRC, Mbwana Aly Samatta akiwa amelala huku amejifunika bendera ya Taifa aliyoipeperusha vyema na kutwaa Tuzo ya Mchezaji Soka Bora wa Afrika anaecheza ligi za Ndani 2015. Samatta alitwaa tuzo hiyo usiku wa kuamkia leo huko Abuja Nigeria.

Father Kidevu Blog inampa pongezi Samatta kwa kutwaa tuzo hiyo pamoja na ile ya mfungaji bora wa Africa na tuzo hizo ziwe chachu ya kufanya vyema kwa wachezaji chipkizi wajitume wafikie malengo hayo.
Posted by MROKI On Friday, January 08, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo