Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL;
kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku kilichopo Ubungo Dar es Slaam,Reocatus
Hanania akipewa ushauri nasaha na akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka
Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan;
Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya
maadhimishao ya siku ya ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya
kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika
wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa ushauri nasaha na kuwapima wafanyakazi
wake wote
Mshauri
nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan; taasisi ya Matumaini
Group ,Aurelia Kanambi (kulia)
akimpima Virusi vya Ukimwi mfanyakazi wa
Kiwanda cha Chibuku kilichopo Ubungo
jijini Dar es salaam, Agustino Mfinde ikiwa ni sehemu ya maadhimisha ya siku ya ukimwi Duniani. ambapo Kampuni ya
kutengezea bia (TBL) kila mwaka huadhimisha kwa kuwapima wafanyakazi wake
ugonjwa huo
Afisa Muuguzi na Mshauri wa
zahanati ya Kampuni ya Bia ya Tanzania (
TBL) Kiwanda cha Dar es Salaam, Angela Mkende akimpima virusi
vya ugonjwa wa Ukimwi mfanyakazi wa
kampuni hiyo Said Salum, ikiwa ni sehamu ya maadhimisho ya siku ya ukimwi
Duniani mwaka huu 2015. ambapo kampuni
hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kuwapimawafanyakazi wake wote .
Mfanyakazi wa kampuni
ya Bia Tananzania (TBL) Kitengo cha
Maabara; Lab Technician.Sophia Koroso akipimwa
virusi vya ugonjwa wa ukimwi na mshauri nasaha kutoka Taasisi ya
Matumaini Group; Kampuni ya bima Afya ya Metropilitan; Jackline Mkemangwa kama sehemu ya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya siku ya ukimwi duniani yaliyofanyika jijini Dar es salaam.Kila mwaka kampuni
hiyo nchini huadhimisha maadhimisho hayo kwa kuwapima wafanyakazi wake wote.
0 comments:
Post a Comment