Nafasi Ya Matangazo

December 13, 2015

Maharusi Elias Richard Tongora na Mkewe Irine Nelson Kitoti wakiwa wenye furaha baada ya wawili hao kula kiapo mbele za Mungu na Washarika wa Kanisa la Adventist Kinondoni, Dar es Salaam hii leo Desemba 13,2015. Baadae waliungana na familia, ndugu, jamaa na marafiki katika tafrija inayofanyika hivi sasa katika ukumbi wa Msasani Beach Club,Makuti Hall, Dar es Salaam. 
 Biharusi Irine Nelson Kitoti akiwa katika pozi
 Biharusi Irine Nelson Kitoti akiwa katika pozi akipanda kwenye gari
 Maharusi wakitoka kanisani.
 Furaha na ndugu na jamaa

Maharusi Elias Richard Tongora na Mkewe Irine Nelson Kitoti wakiwa wenye furaha baada ya wawili hao kula kiapo mbele za Mungu na Washarika wa Kanisa la Adventist Kinondoni, Dar es Salaam hii leo Desemba 13,2015. Baadae waliungana na familia, ndugu, jamaa na marafiki katika tafrija inayofanyika hivi sasa katika ukumbi wa Msasani Beach Club,Makuti Hall, Dar es Salaam. 
 Maharusi wakicheza mziki ukimbini
 Wazazi wa bwana harusi  Col.Richard Tongora na mkewe Christina Tongora.
Wazazi wa Biharusi Nelson Kitoti na mkewe Joyce Kitoti. 
Wanafamilia ya Tongora  
Wageni mbalimbali wakiwa katika tafrija hiyo ya Elias na Irine
Burudani imenoga vilivyo.
Posted by MROKI On Sunday, December 13, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo