Nafasi Ya Matangazo

December 15, 2015



Msaani maarufu wa bongofleva, Linex akifanya vitu vyake katika uwanja wa Mlandege mjini Iringa juzi kwenye tamasha la muziki (Mtikisiko) lililoandaliwa na redio Ebony FM ya mjini Iringa kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi Tigo. Tamasha hilo hufanyika kila mwaka katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini
Msaani maarufu wa Hip hop,Darasa akifanya vitu vyake katika uwanja wa Mlandege mjini Iringa juzi kwenye tamasha la muziki (Mtikisiko) lililoandaliwa na redio Ebony FM ya mjini Iringa kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi Tigo. Tamasha hilo hufanyika kila mwaka katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini
Umati wa wananchi wa Iringa waliojitokeza  katika uwanja wa Mlandege mjini Iringa juzi kwenye tamasha la muziki (Mtikisiko) lililoandaliwa na redio Ebony FM ya mjini Iringa kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi Tigo. Tamasha hilo hufanyika kila mwaka katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusin
Msaani maarufu wa Hip hop, Roma Mkatoliki akifanya vitu vyake katika uwanja wa Mlandege mjini Iringa juzi kwenye tamasha la muziki (Mtikisiko) lililoandaliwa na redio Ebony FM ya mjini Iringa kwa udhamini wa kampuni ya simu za mkononi Tigo. Tamasha hilo hufanyika kila mwaka katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini
Posted by MROKI On Tuesday, December 15, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo