Nafasi Ya Matangazo

December 08, 2015

Wakiwakilisha tuzo ya Mshindi wa Jumla na Mshindi wa tuzo ya Uwakilishaji Bora wa Nyaraka za Fedha kundi la Uzalishaji ni   Mkaguzi Mkuu wa Fedha wa Ndani TBL Group; Richard Magongo (kushoto) na Meneja wa Huduma  Shirikishi  - Idara ya Fedha TBL; Alois Qande
 Meneja wa Huduma Shirikishi – Idara ya Fedha  TBL; Alois Qande (kushoto) na Mkaguzi Mkuu wa Fedha wa Ndani TBL Group; Richard Magongo wakionyesha moja ya tuzo zilizopokelewa kwa niaba ya kampuni hiyo wakati wa hafla ya Uwakilishaji Bora wa Nyaraka za Fedha iliyoandaliwa na Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA) iliyofanyikia kwenye ukumbi wa APC Bunju, Dar es Salaam. TBL Group ilishinda tuzo ya Mshindi Jumla na tuzo ya Muakilishi Bora wa Nyaraka za Fedha.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Menejimenti ya Fedha za Umma) Wizara ya Fedha; Dk. Hamisi H. Mwinyimvua (katikati) akimpongeza Mkaguzi Mkuu wa Fedha wa Ndani TBL Group; Richard Magongo (kulia) mara baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya TBL Group wakati wa hafla ya Uwakilishaji Bora wa Nyaraka za Fedha iliyoandaliwa na Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA) iliyofanyikiwa kwenye ukumbi wa APC Bunju, Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA); Prof. Isaya Jairo.
Posted by MROKI On Tuesday, December 08, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo