Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye
picha na Mhe. Dkt. Simone Knapp, Balozi wa Jamhuri ya Austria mwenye makazi
yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye
mazungumzo na Mhe. Dkt. Simone Knapp, Balozi wa Jamhuri ya Austria mwenye
makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba,
2026.
Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea Hati
za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Dkt. Simone Knapp, Balozi Mteule wa Jamhuri ya
Austria mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. Leon Francois Yandouma, Balozi wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Leon Francois Yandouma, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.Mheshimiwa
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye
mazungumzo na Mhe. Leon Francois Yandouma, Balozi wa Jamhuri ya Congo
(Brazzaville) mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es
Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. George Pschias, Balozi wa Jamhuri ya Ugiriki mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. George Pschias, Balozi wa Jamhuri ya Ugiriki mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. George Pschias,
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Ugiriki mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya,
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. Moravia Peralta Hernández
Balozi wa Jamhuri ya Venezuela nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi
nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Moravia Peralta Hernández
Balozi wa Jamhuri ya Venezuela nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi
nchini Kenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Oktoba, 2026.











0 comments:
Post a Comment