Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.
Edwin Ngonyani akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi
zake kuhusu ufanyaji kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maslahi ya jamii.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.
Edwin Ngonyani akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Wizara ya iliyokuwa ya
Uchukuzi wakati alipotembelea Wizara hiyo ambayo sasa imeunganishwa na Ujenzi
na Mawasiliano.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.
Edwin Ngonyani akitoa maelekezo kwa watendaji wa Wizara hiyo namna ya
kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili na mikataba wanayoingia iwe
kwa maslahi ya nchi.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.
Edwin Ngonyani akiweka sahihi katika kitabu cha wageni huku Katibu Mkuu wa
aliyekuwa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi
na Teknolojia Bw. Yamungu Kayandabila akishuhudia.
0 comments:
Post a Comment