Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu
Duniani, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipunga mkono kupokea maandamano ya wananchi kwenye Viwanja vya Karimjee katika Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani,
yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Dec 10, 2015. Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame Nyanduga, wakati
alipowasili kwenye Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kupokea maandamano ya wananchi
wakati wa Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani,
yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, wakati wa mapokezi
ya maandamano ya wananchi wakati wa Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya
Haki za Binadamu Duniani, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
Salaam,leo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bi Maimuna Tarishi, akizungumza kabla ya
kumkaribisha Mhe. Makamu wa Rais kuhutubia wakati wa Maadhimisho ya Nane ya
Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam leo.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Mwakilishi
Mkazi wa Umoja wa Mataifa Ofisi ya Tanzania, Joyce Mends-Cole, akizungumza kabla
ya Mhe. Makamu wa Rais kuhutubia wakati wa Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya
Siku ya Haki za Binadamu Duniani, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi
ya wananchi na wadau mbalimbali waliohudhuria ufunguzi huo wakimsikiliza Mhe.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa Maadhimisho
ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, yaliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na mtoto, Ahana Gloria Massey (5) wakati alipowasili kwenye
Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Dec 10, 2015 katika ufunguzi wa
maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi na washiriki wa ufunguzi wa Maadhimisho
ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, baada ya ufunguzi
huouliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
0 comments:
Post a Comment